Register for free account, update your profile and start submitting your music videos right away for our Music Video Promotion LOW KEY - GABIRO X MATAMU @gabirodahiphop | Music Video Hype

LOW KEY – GABIRO X MATAMU @gabirodahiphop

June 28, 2017

LYRICS
(CHORUS)
Sijawahi enda off key
Sinaga kelele zangu huwa low key
Nawatisha na maflow cheki noti
Siri yangu ni kupiga magoti na kumshukuru Mungu*2

(Verse 1- GABIRO)
I pray to God aniongee tu hizi pesa
Ju bado nina dream nataka kumuoa Fezza
Mi mtafutaji so unajua jo sichoki
Na singekuwa rapper ningekuwa disc jockey
Wanauliza mbona hizi show sitoki
Kwani we ni Yesu ndio uniambie ka siokoki
Don’t judge me coz I chose kuwa low key
Mi napenda Yesu shinda wote mliocopy
I don’t shout coz I know niko better
I do what I like ndio nilenge peer pressure
Napenda Mziki siwezi itoroka
Ukinikata veins ni ma guitar ndio itatoka
Toroka na njaa mimi nashiba (aah)
Ukiwa na Yesu hakuna shida
Mbele mpaka nyuma cheza chini tu utashinda
Nina award pia so unajua mi ni winner
Nisiposhikwa sura watanijua kwa jina
Nione kwenye TV nikinena tu na Nina
Promise the best kwa upendo wivu sina
Naona nikizidi ninaweza kosa vina. (CHORUS)
Sijawahi enda off key
Sinaga kelele zangu huwa low key
Nawatisha na maflow cheki noti
Siri yangu ni kupiga magoti na kumshukuru Mungu*2 (Verse 2- GABIRO)
Nina ma friends but some we be joking
Kuna wale pia kazi yao tu ni talking
Mimi ndio prezzo sijawai enda off key
Na sina ubishi sijawahi piga high key
Kama ni lines nina flow uliza Noti
Please be official tafadhali dunga koti
Wananiuliza kama Vera ameshindika
Itakuwa vipi na kwangu hajaifika?
Mi napenda wote ndio maana ninasifika
Siri ni maombi ndio maana ninasikika
Kneel down and pray you’ll get better
If you need money just work and sleep later
Hakuna kisicho na mwisho bbasi vumilia
Ukiona vyaelea sio wewe uliyeunda
Mungu halali piga goti ataleta mvua
Mi niko low key na hivo ndio nimeamua
Mungu baba nipigishe maraundi
Nionyeshe hizi dollar na ma poundi
Ili yule dada aweze nivisha crowni

(CHORUS)
Sijawahi enda off key
Sinaga kelele zangu huwa low key
Nawatisha na maflow cheki noti
Siri yangu ni kupiga magoti na kumshukuru Mungu*2

(Verse 3 – MATAMU)
Hustle is real yea,
Struggle is too real,
Mkono mtupu hulambwi wahenga walishasema
Kila siku kama kawa,
Mwanzo kabisa sala
Tena after kahawa
Nashika pen na paper
Kundika jinsi nitaimba
Nataka rogaroga kwa muziki kama ye Alade
Nataka zunguruka rukaruka kwenye stage mijini
Siku gani nitaona nimemake it
Natafuta, sitachoka
Nitambae kwenye twitter mnifate
Instagramu double tapu mi nipate
Nisiwe debe tupu mnisare
Matamu munisare!

(CHORUS)
Sijawahi enda off key
Sinaga kelele zangu huwa low key
Nawatisha na maflow cheki noti
Siri yangu ni kupiga magoti na kumshukuru Mungu*2

Categories
Music Videos
Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *